Polisi eneo la Kuria wanasa na kuharibu katoni 45 za baruti

  • | Citizen TV
    224 views

    Maafisa wa usalama kuria wameharibu baruti katoni 45 za baruti zilinaswa kufuatia agizo la mahakama washukiwa 10 walikamatwa nabaruti hizo kuria wamekuwa wakizitumia kwa uchimbaji wa dhahabu