Skip to main content
Skip to main content

Maafisa watano wafumaniwa wakiitisha hongo kwenye barabara ya Busia-Kisumu

  • | KBC Video
    202 views
    Duration: 2:39
    Maafisa watano wa trafiki waliokuwa wakisimamia kizuizi cha barabarani katika eneo la Korinda kwenye makutano ya barabara ya kutoka Busia kuelekea Kisumu wamekamatwa kwa tuhuma za ulaghai. Watano hao walinaswa wakichukua hongo kutoka kwa waendeshaji magari katika kizuizi hicho mashuhuri kwa uovu huo, takribani kilomita tano kutoka mji wa Busia. Achola Simon anatuletea taarifa kamili. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive