Maambukizi zaidi ya Mpox yazua wasiwasi nchini

  • | Citizen TV
    1,713 views

    Wasiwasi umeibuka kuhusu kuongezeka kwa visa vya maambukizi ya ugonjwa wa mpox huku wizara ya afya ikisema kuwa visa hivyo vimefikia 31. Kaunti ya nakuru imetajwa kuongoza katika visa hivyo. Katibu wa wizara ya afya mary muthoni amewataka wakenya kuchukua tahadhari zaidi ili kudhibiti ugoinjwa huo.