Maamuzi makubwa aliyofanya Donald Trump ndani ya mwezi mmoja madarakani

  • | BBC Swahili
    3,175 views
    Rais wa Marekani Donald Trump ametimiza mwezi mmoja madarakani tangu alipoapishwa Januari 20. Kuna mengi yameshajitokeza ambayo kwa namna moja ama nyingine yameligusa bara la Afrika hasa katika sekta ya afya na sekta nyinginezo. Martha Saranga amefanya mjadala mzito na wachambuzi wa siasa za kimataifa Yaliyomo 4:15 - Tathimni ya Trump tangu aingie madarakani 10:40 - Maamuzi yote aliyofanya Trump kwa kifupi 13:24 - Uamuzi wa Trump kujitoa WHO, utafiti 17:53 - Athari ya Uamuzi wa Trump kuzuia ufadhili wa USAID kwa Afrika 21:42- Mchambuzi kutoka Kenya 27:30 - Waathirika wa virusi vya UKIMWI Tanzania wanazungumizia athari 31: 50 - Nchi za Afrika zinaweza kujitgemea kwa rasirimali zake? 34:14 - Uamuzi wa Trump kuita mexico Ghuba ya Mexico 39:29 - Sera kutoka nje ya nchi zimeilamaza Afrika 42: 50 - DRC na mapigano ya M23 kuathirika na uondoaji wa ufadhili wa mashirika ya misaada 52:07 - Amri ya kupiga marufuku wapenzi wa jinsi moja #Trump #bbcswahili #DonaldTrump Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw