7 Nov 2025 10:55 am | Citizen TV 1,504 views Duration: 7:23 Watu wengi humu nchini na hata Kimataifa hupenda kuvalia Mavazi ya Jamii ya Wamaasai hasa wanapohudhuria Sherehe za aina mbali mbali. Lakini je unafahamu kuwa unapovaa Mavazi hayo Kila vazi lina umuhimu wake?