Maandamano dhidi ya utekaji nyara yaanza na kizingiti Mombasa, polisi wakiwa wima

  • | NTV Video
    8,750 views

    Maandamano dhidi ya kukithiri kwa visa vya utekaji nyara yaliopangwa kufanyika nchini Kenya hii leo yamekubwa na kizingiti kule Mombasa huku maafisa wa polisi wakiwa wima kuhakikisha maandamano hayo hayafanyiki.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya