Maandamano katika michoro

  • | BBC Swahili
    617 views
    Wakati baadhi ya vijana wakiingia barabarani kufanya maandamano nchini Kenya, vijana wengine wameamua kuandamana kwa njia tofauti, ikiwemo kupitia sanaa zao. BBC ilizungumza na Lynda Indakwa ambaye yeye anatumia uchoraji kufikisha ujumbe wake wa maandamano. #bbcswahili #kenya #maandamano Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw