Maandamano ya Gen-Z yakosa kuchukua mkondo ulioratibiwa baada ya polisi kuzuia magari ya abiria

  • | K24 Video
    982 views

    Maandamano ya wanarika wa Gen-Z yalikosa kuchukua mkondo ulioratibiwa, baada ya maafisa wa polisi kuzuia magari ya abiria kufika katikati mwa jiji la Nairobi. Maafisa hao wa usalama waliweka vizuizi kwenye barabara tofauti ikiwemo barabara kuu ya thika na ile ya lang’ata. kwanahabari wa kampuni ya mediamax walivamiwa na wahuni katika eneo la Githurai, waliotoweka na vifaa vya kazi.