Skip to main content
Skip to main content

Maandamano yatakayokuwepo ni ya watu kupiga kura tu

  • | BBC Swahili
    15,069 views
    Duration: 1:14
    “Nataka niwaambie maandamano yatakayokuwepo ni ya watu kwenda vituoni kwenda kupiga kura, hakuna maandamano mengine yatakayokuwepo. Hakuna tishio la kiusalama litakalokuwepo anayesema ni amiri jeshi mkuu wa Nchi (Tanzania)hii”. Mgombea Urais nchini Tanzania Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania kujitokeza kupiga kura na kusema kuwa hakuna maandamano yoyote yatakayotokea nchini siku hiyo. Ameyesama hayo katika kampeni zake mwisho Jijini Dar es salaam - - - #tanzania #uchaguzimkuu2025 #bbcswahili #siasa