MAASKOFU WAMLILIA PAPA FRANCIS KWA UJUMBE WA AMANI NA HAKI

  • | K24 Video
    22 views

    Maaskofu wakuu kutoka dayosisi mbalimbali nchini wametuma rambirambi zao kufuatia kifo cha Papa Francis. Wamemkumbuka kwa kuenzi maskini, kusimamia haki ya mazingira, na ujumbe wake wa amani duniani.