Mabaki ya chombo cha Titan yakikusanywa chini ya maji

  • | BBC Swahili
    159 views
    Walinzi wa Pwani wa Marekani wametoa picha zaidi zinazoonesha mabaki ya chombo cha Titan chini ya maji, ambacho kililipuka na kuua watu wote watano waliokuwa ndani, Chombo hicho kilipata ajali hiyo wakati kilipoingia chini ya maji kuelekea eneo la ajali ya Titanic ilipopata ajali hiyo Juni 2023. Kusikilizwa kwa kesi ya ajali hiyo kumefichua moja ya ujumbe wa mwisho kutoka kwa timu ya watu hao wa tano kabla ya kupoteza mawasiliano. #bbcswahili #titanic #bahari #titan Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw