'Mabibi na mabwana, Rais Putin' - Biden akosea kutambulisha jina la Rais wa Ukraine

  • | BBC Swahili
    1,738 views
    Rais wa Marekani Joe Biden alimtaja kimakosa Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky kama "Rais Putin" alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu uungaji mkono wa Nato kwa Ukraine. Baadaye alirekebisha, kabla ya Zelensky kuchukua kipaza sauti. #bbcswahili #marekani #joebiden Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw