Skip to main content
Skip to main content

Mabibi wanaotumia Benchi la jamii kuziba pengo katika huduma ya afya ya akili Zimbabwe

  • | BBC Swahili
    784 views
    Duration: 49:51
    'Katika utafiti wa miezi sita, 80% ya watu waliokuja kwenye Benchi la Urafiki walionesha maendeleo katika afya yao ya akili' Bila rasilimali au wafanyakazi, Dk. Dixon Chibanda, mmoja wa madaktari wachache wa afya ya akili nchini Zimbabwe, na mhadhiri katika Chuo cha Kings London, analenga kusaidia kutatua mzozo wa afya ya akili nchini mwake. Wamewafunza kundi la mabibi tiba ya tabia na kutoa ushauri nasaha kwenye mabenchi wakiwashauri wanajamii kuhusu matatizo ya kawaida ya akili kama vile wasiwasi na mfadhaiko. #bbcswahili #wanawake #bbcafricaeye Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw