Machifu kuongoza upanzi wa miti kila Ijumaa ya mwisho wa mwezi

  • | Citizen TV
    138 views

    Katika juhudi za kupanda miti milioni 100 kwa mwaka, katibu katika wizara ya usalama daktari Raymond Omollo, aliteua machifu 3,950 kote nchini kuongoza kampeni kubwa ya upandaji miti.