Wahadhiri wasisitiza hawatarudi kazini

  • | Citizen TV
    197 views

    Wahadhiri Wwa Vyuo Vikuu Vya Umma Wamesisitiza Kuwa Hawatarejea Kazini Hadi Pale Makubaliano Walioafikia Na Wizara Ya Elimu Kabla Ya Kurejea Kazini Yatekelezwe. Kwenye Kikao Cha Kamati Ya Bunge Kuhusu Elimu, Katibu Mkuu Wa Chama Cha Wahadhiri (UASU) Constantine Wesonga) Amesema Kuwa Hawatakubali Kuhadaiwa Tena. Haya Ni Huku Kamati Ya Mazungumzo Ikisisitiza Kuwa Hakuna Pesa Z Akutosha Kutekeleza Matakw Aya Wahahdiri.