Machifu waliokuwa safarini kupanga ziara ya rais watekwa, Mandera

  • | Citizen TV
    6,326 views

    Machifu watano kutoka kaunti ya Mandera walitekwa nyara leo na watu wanaoaminika kuwa wanamgambo wa al-shabaab, walipokuwa safarini kutoka eneo la Wargadud kuelekea Elwak. Inaarifiwa kuwa machifu hao walikuwa kwenye maandalizi ya ziara ya rais ruto katika eneo hilo la kaskazini mashariki kuanzia hapo kesho.

    shabaab