Machifu watano waliotekwa nyara kurejea nyumbani

  • | KBC Video
    181 views

    Machifu watano waliotekwa nyara katika kaunti ya Mandera na watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa al-shabaab walipokuwa wakisafiri kuelekea mji wa Elwak mwezi Februari mwaka huu wameachiliwa. Waziri wa usalama wa taifa Kipchumba Murkomen aliyeanza ziara yake ya kikazi ya siku 6 katika eneo la pwani anasema machifu hao sasa wako mikononi mwa maafisa wa Kenya na shughuli ya kuwaunganisha na familia zao inaendelea.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive

    shabaab