Ian Baraka, mweye umri wa miaka 7 kutoka Igembe Kaskazini, Kaunti ya Meru, ambaye uso wake uliharibika baada ya kupigwa risasi mwaka 2023, ameruhusiwa kwenda nyumbani kutoka hospitali ya kitaifa ya Kenyatta. Haya yanajiri baada ya upasuaji mgumu wa urekebishaji uso wake uliofanikiwa. Akizungumza baada ya mwanawe kuruhusiwa kwenda nyumbani, mama yake, Bessy Kinya, aliwashukuru madaktari kwa kurekebisha tabasamu ya mtoto wake. Mwanahabari wetu Joseph Wakhungu anatusimulia safari ya Ian hadi leo.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive