Madaktari walalamika kuhusu matozo ya SHA

  • | KBC Video
    73 views

    Madaktari humu nchini wanatishia kugoma kuanzia tarehe 18 mwezi huu kutokana na kukosa kupata huduma za matibabu chini ya halmashauri ya afya ya jamii-SHA. Kulingana na katibu mkuu wa chama cha madaktari nchini KMPDU Dkt. Davji Atellah, madaktari wanafadhaika kutokana na hatua ya serikali ya kushindwa kuwasilisha matozo yao ya kila mwezi kwa halmashauri hiyo ya asilimia 2.75 ya mishahara yao.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive