- 31 viewsDuration: 2:11Shirikisho la vyama vya sekta ya uchukuzi humu nchini linaitaka serikali kuhakikisha utekelezaji wa sheria ya leba na ajira ili kukomesha unyanyasaji wa wanachama wake. Katibu mkuu wa tawi la Mombasa la chama hicho Nicholas Otieno, amesema madereva wengi hususan wale wa mabasi ya masafa marefu wanafanya kazi kwa siku nyingi bila kupumzika hali ambayo ni ukiukaji wa sheria. Otieno alitahadharisha kwamba huenda chama hicho kikaitisha mgomo wa wanachama wake ikiwa malalamishi yapo hayatashughulikiwa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News