Maelfu wanamiminika kumuaga Papa St. Peter’s Square

  • | BBC Swahili
    3,416 views
    Maelfu bado wanamiminika katika Uwanja wa St. Peter’s Square ili kutazama mwili wa Papa Francis kwa mara ya mwisho. Atazikwa Jumamosi Aprili 26, kilomita 4 kutoka Vatikani—katika kanisa maalum ambapo alisali kwa mara ya kwanza baada ya kuwa papa. #bbcswahili #papafrancis #vatikani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw