Mafunzo ya kiufundi yatajwa kuwa suluhu

  • | KBC Video
    12 views

    Suluhisho kuhusu tatizo la ukosefu wa ajira ni kuwasajili vijana katika vyuo vya mafunzo ya kiufundi. Mbunge wa Chesumei, Paul Biego amesema taasisi za mafunzo ya kiufundi zinawapa vijana ujuzi wa kuwasaidia kujipatia ajirana riziki.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive