Magatuzi I Watoto 1500 kaunti ya Muranga kunufaika na pesa za masaada wa masomo

  • | KBC Video
    54 views

    Takriban watoto 1500 katika kaunti ya Muranga wanatarajiwa kunufaika na pesa za masaada wa masomo wa shilingi milioni 6 kwa hisani ya kiwanda cha majani chai cha Nduti. Kila mwanafunzi anayetoka katika maeneo yanayokuza majani chai katika eneo hilo atapata shilingi 4000, katika hatua inayolenga kuwapunguzia wazazi mzigo wa kifedha.Taarifa kamili kwenye mseto wa kaunti.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive