Hospitali ya misheni ya Litein level 5 katika kaunti ya Kericho, inakabiliwa na athari ya kusitisha shughuli zake, kutokana na changamoto za kifedha. Hospitali hiyo sasa inatoa wito kwa serikali kulipa kwa dharura madeni ya kima cha shilingi milioni-400 yanayodaiwa hospitali hiyo na kampuni za bima.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive