Magatuzini I Mwili wa Chebukati umewasili nyumbani kwake Kitale kabla ya mazishi

  • | KBC Video
    160 views

    Mwili wa aliyekuwa mwenyekiti wa tume huru ya uchaguzi na mipaka Wafula Chebukati umewasili nyumbani kwake Kitale kabla ya mazishi yake siku ya Jumamosi. Haya yanajiri huku ibada ya ukumbusho ikifanywa kwa ajili yake siku ya Jumatano mtaani Karen jijini Nairobi. Taarifa kamili kwenye mseto wa kaunti.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive