Magenge ya wahalifu Mombasa yaonywa

  • | KBC Video
    182 views

    Kamanda wa polisi eneo la Pwani Ali Nuno ametoa tahadhari kwa magenge ya wahalifu wanaowahangaisha wakazi wa Likoni. Akizungumza katika ukumbi wa LICODEP huko Mombasa wakati alipokea vijana 100 walioasi uhalifu, Nuno aliapa kuwakabili wahalifu kikamilifu kwa kutumia mkono mrefu wa sheria. Kwingineko, Maafisa wa utawala wa ngazi za juu katika eneo bunge la Kiharu kaunti ya Murang'a wako kwenye mizani kwa madai ya kuwashambulia wateja na wafanyakazi wa baa moja mjini Murang'a. Timothy Kipnusu na taarifa zaidi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News