Mahakama imetupilia mbali ombi la Inspekta Jenerali Kanja

  • | Citizen TV
    1,041 views

    Inspekta jenerali wa polisi Douglas Kanja amesisitiza kwamba anaiheshimu mahakama na kwamba yuko tayari kufika mahakamani kama alivyoagizwa.