Mahakama yadumisha uhalali wa ushuru wa nyumba

  • | KBC Video
    132 views

    Mahakama Kuu imetupilia mbali ombi la kupinga uhalali wa kikatiba wa asilimia 1.5 ya ushuru wa Nyumba za bei Nafuu iliyodaiwa kutozwa mara mbili na kuwa ya kibaguzi. Katika uamuzi uliotolewa na jopo la majaji watatu, wakiwemo majaji Olga Sewe, John Chigiti na Josephine Mong'are, mahakama ilitupilia mbali ombi la Seneta wa Busia Okiya Omtatah, mwanaharakati Eliud Matindi na Taasisi ya Katiba, ikisema ushuru huo ni halali na unawiana na katiba.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive