Mahakama yakataa kumwachilia Ferdinand Waititu kwa dhamana

  • | KBC Video
    194 views

    Aliyekuwa gavana wa Kiambu Ferdinand Waititu amepata pigo kubwa kwenye azma yake ya kutaka aachiliwe huru baada ya kunyimwa dhamana hadi rufaa yake itakaposikizwa na kuamuliwa. Akitoa uamuzi huo, jaji wa mahakama kuu Lucy Njuguna alisema haki ya kupewa dhamana baada ya kupatikana na hatia sio sharti la kikatiba kwa sababu mfungwa tayari amedhibitishwa kuwa na hatia. Taarifa hii na nyinginezo, ni kwenye kitengo cha mizani ya haki.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive