Mahakama yasitisha kubanduliwa kwa Gavana Mwangaza

  • | KBC Video
    35 views

    Mustakabali wa kisiasa wa Gavana wa kaunti ya Meru Kawira Mwangaza sasa umo mikononi mwa mahakama baada ya mahakama kuu kuagiza asalie ofisini akisubiri kusikizwa na kuamuliwa kwa rufaa inayopinga kutimuliwa kwake. Mwangaza ambaye alibanduliwa Jumanne usiku na maseneta alifika mahakamani kuzuia kufurushwa kwake. Haya yanajiri huku mahakama na seneti zikijipata katika njia panda huku mahakama ikatangaza uamuzi wa kuzuia kuchapishwa kwa hatua ya kuondolewa kwake mahakamani huku spika wa bunge la seneti kwa pande wake akichapishwa uamuzi huo katika gazeti rasmi la serikali. Ripota wetu Gladys Mungai anasimulia zaidi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive