Mahojiano Maalum: 'Uchumi ndiyo tatizo' aeleza Rais-mteule wa Ghana

  • | VOA Swahili
    329 views
    Katika mahojiano maalum na VOA, Rais-mteule wa Ghana John Mahama ametoa dira yake ya kuboresha maisha ya raia wa kawaida wa Ghana baada ya ushindi wake katika uchaguzi mkuu wa wiki iliyopita. Mahama, who campaigned on reviving Ghana’s struggling economy and tackling unemployment, discussed his plans to reset Ghana's economy. Mahama, katika kampeni yake alijikita kufufua uchumi wa Ghana wenye matatizo na kutafuta ufumbuzi wa ukosefu wa ajira, alijadili mipango yake ya kupanga upya uchumi wa Ghana. Mwandishi wa VOA Idhaa ya Kiingereza kwa Afrika, Paul Ndiho alimhoji Mahama siku ya Ijumaa katika mji mkuu wa Ghana, Accra. #ghana #mahama #voa