- 245 views- - - - - VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
MAISHA NA AFYA - DAKTARI KUTOKA DIASPORA AJENGA HOSPITALI GHANA KUSAIDIA WANANCHI
- 28 Nov 2024 - Party leader Martha Karua praised the NDC's resolutions, emphasising the importance of rebranding and planning for the 2027 general election.
- 28 Nov 2024 - Members of Parliament on Wednesday, November 27, reviewed some of the proposals for cushioning Kenyans from predatory digital lenders who have been accused of harassing its customers as a loan repayment tactic.
- 28 Nov 2024 - President William Ruto has put 34 Chief Executive Officers of government agencies on notice for failing to adhere to directive of digitising all operations through the e-citizen platform to enhance transparency.
- 28 Nov 2024 - The President spoke on Thursday at the First Anniversary of the E-Citizen Directorate at the Kenyatta International Convention Centre (KICC) in Nairobi, reflecting on the platform's achievements and outlining plans for the future of digital public…
- 28 Nov 2024 - The new Charge d'Affaires at the US Embassy in Kenya Marc Dillard has lauded the team he termporarily leads at the Nairobi headquarters.
- 28 Nov 2024 - Treasury CS John Mbadi has dismissed claims of President William Ruto controlling the government in a dictatorial manner; emphasizing that he welcomes ideas from all quarters.
- 28 Nov 2024 - Police in Kijabe are searching for a gang of three robbery suspects who attacked a motorist last night at a bridge along Old Kijabe Road.
- 28 Nov 2024 - Several Nairobi motorists reported receiving SMS alerts from the Authority on Wednesday.
- 28 Nov 2024 - The blogger's family agreed to bury his remains, despite an earlier stance that he would not be buried until justice was served.
- 28 Nov 2024 - Okiya Omtatah officially launched a 10-member committee to assess his viability in ousting Ruto come 2027.