Maiti ya mwalimu mmoja imepatikana mtoni Bureti

  • | Citizen TV
    526 views

    Kupatikana kwa maiti ya Collins Mutai ambaye alikuwa mwalimu wa shule ya Testimony kumewatia wasiwasi wanakijiji hao. Kulingana na ripoti ya polisi, mwili huo ulipatikana bila alama zozote na unahifadhiwa katika makafani ya hospitali ya Kapkatet huku uchunguzi ukiendelea kubaini chanzo cha kifo cha mwalimu huyo.