- 6,421 viewsDuration: 2:52Mgongano umeibuka ndani ya muungano wa upinzani huku naibu kiongozi wa chama cha DCP Cleophas Malala na gavana wa Natembeya wa chama cha DAP-K wakirushiana maneno kwenye kampeni za uchaguzi. Malala anadai kuwa natembeya anatumiwa na Kenya Kwanza kuvuruga upinzani huku natembeya naye akidai malala ndiye anayehongwa na serikali kuvuruga upinzani