Makanisa mbalimbali yajumuika katikati mwa Nairobi kwenye ibada ya maombi ya taifa

  • | Citizen TV
    862 views

    Makanisa mbali mbali kutoka dira zote za taifa yakiongozwa na kanisa la Exploit Worship Center wameandaa maandamano ya amani jijini Nairobi kuombea taifa dhidi ya matukio yaliyoshuhudiwa majuzi. viongozi wa kidini wakisema ni wakati mwafaka wa viongozi wa kidini kutwaa jukumu la kuunganisha taifa,