Makao makuu ya serikali ya kaunti ya Homa Bay kujengwa

  • | KBC Video
    9 views

    Tume taifa ya ardhi imeridhia ombi la serikali ya kaunti ya Homa Bay la kujenga makao makuu mapya ya kaunti hiyo. Serikali ya kaunti ya Homa Bay imekodi ardhi ya ekari 5 kutoka kwa hazina ya penishen ya kaunti kwa ajili ya ujenzi wa makao hayo kupitia mpango wa malipo ya rehani. Akizungumza alipopokea cheti cha idhinisho, gavana wa Homa Bay Gladys Wanga alipongeza hatua hiyo akisema makao hayo makuu yatafanikisha utoaji huduma kwa wakazi wa Homa Bay.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News