Makundi ya akina mama 34 waanza ufugaji wa chenene ili kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi

  • | Citizen TV
    397 views

    Makundi ya akina mama 34 kutoka kaunti za Marsabit, Samburu, Laikipia na Isiolo wameanza ufugaji wa chenene kama njia moja ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi . Na kama anavyoarifu Sharon Nkonge, wadudu hao wanatumiwa kutengenezea chakula cha binadamu na mifugo.