Makundi ya kijamii yakataa mawaziri waliotimuliwa

  • | KBC Video
    125 views

    Viongozi wanawake wamepongeza rais William Ruto kwa kumpendekeza Soipan Tuya kuwa waziri wa Ulinzi. Na katika kaunti ya Nakuru, makundi ya kijamii yamepinga uamuzi wa rais Ruto wa kuwajumuisha mawaziri sita waliotimuliwa kwenye baraza jipya la mawaziri. Kwa mujibu wa makundi hayo, mawaziri hao sita walitimuliwa kutokana na utendakazi duni na hivyo hawafai kurejeshwa kwenye nyadhifa hizo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive