Malala asema serikali inahujumu uhuru wa kujieleza

  • | Citizen TV
    2,268 views

    Aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama cha UDA na mwandishi wa tamthilia tata ya Echoes of War, Cleophas Malala, ametetea tamthilia hiyo akisema japo wanafunzi wa Shule ya Upili ya Wasichana ya Butere hawakuigiza, mchezo huo utaonyeshwa tena mbele ya hadhira nyingine