Malimbikizi ya madeni ya SHA

  • | TV 47
    68 views

    Kamati ya Seneti kuhusu uwekezaji wa umma yalalamikia madeni.

    Osotsi amesema madeni ya serikali kuu hospitalini yataadhiri pakubwa utendakazi.

    Wameitaka serikali ya kitaifa kulipa jumla ya milioni 303 hospitalini Kilifi.

    Kamati hiyo imezuru hospitali ya Kilifi.

    Mung’aro amelalamikia kucheleweshwa kwa fedha za kaunti.

    #TV47Matukio

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __