Mama adaiwa kumpiga hadi kufa bintiye wa miaka 14 Busia

  • | Citizen TV
    8,399 views

    Mwanamme mmoja kutoka kaunti ya Bungoma anataka haki itendeke kufuatia kifo cha mtoto wake wa kike mwenye umri wa miaka 14 baada ya kile kudaiwa kupigwa na mamake mzazi. Inadaiwa kuwa mwendazake vashty khayinji mwanafunzi wa shule ya upili rang’ala kaunti ya siaya alirejea nyumbani akiwa amelewa kisha mamake akamuadhibu kwa kumpiga vibaya hadi kufa.