Mama Mawigi: Mama wa miaka 65 aliyejikita katika sanaa ya vichekesho Tanzania

  • | BBC Swahili
    1,455 views
    Conchester Kokuongeza Ishengili maarufu kama mama mawigi, ni mama wa miaka 65 ambaye amepata umaarufu katika mitandao ya kijamii kutokana na uchekeshaji wake akiigiza taswira ya kabila la kihaya . - Alianza sanaa hii baada ya kushawishiwa na mtoto wake Coy Mzungu - Je ilikuwa rahisi kiasi gani kwake kuanzia sanaa ya vichekesho akiwa mtu mzima? Regina Mziwanda anazungumza naye mubashara muda mfupi kutoka sasa kupitia ukurasa wa Facebook/Instagram/Youtube-BBC Swahili