"Mama mkwe anakuja kumchukua mwanaye ili nisimwambukize ulemavu"

  • | BBC Swahili
    142 views
    Jina lake limehifadhiwa; anasimulia masaibu aliyokutana nayo kwenye ndoa kutokana na ulemavu wake wa kushindwa kutembea. Huyo ni miongoni mwa raia wengi wa Somalia wanaoishi na ulemavu huku wakikabiliwa na unyanyasaji. Ungana na Mwandishi wa BBC Fardowsa Hanshi kwa taarifa ifuatayo. Unaweza kutazama taarifa hii kwa urefu Youtube-BBC Swahili ✍️@Fardawsa_hanshi 🎥 @tonyirush @mohamud_muude #bbcswahili #ulemavu #maisha Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw