Mama Taifa asema kila mtoto ana haki ya kupata elimu

  • | KBC Video
    48 views

    Shirika la wake wa marais barani Afrika kuhusu maendeleo (OAFLAD) kwa ushirikiano na shirika la dunia linatetea masomo ya chekechea kwa watoto. Hii ni katika juhudi za kuhakikisha kila mtoto barani Afrika anajisajili shuleni katika umri unaofaa na kuendeleza masomo yake hadi kiwango cha juu zaidi cha elimu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive