- 5,253 viewsDuration: 2:59Ilikuwa shangwe katika hospitali ya Nyanchwa mjini Kisii baada ya mama mmoja kujifungua watoto wanne kwa mpigo. Watoto hao wakipewa majina yote ya waziri mkuu wa zamani Raila Odinga, ikimaanisha kuwa watoto hawa wanne wana majina matatu ya Raila, Amolo, Odinga na wa kike akipewa jina la Ida.