Mama wa miaka 40 ambaye amevimba tumbo anaomba msaada wa matibabu Kakamega

  • | West TV
    45 views
    Mama wa miaka 40 aomba msaada wa matibabu baada ya tumbo lake kuvimba baada ya kudhani ana ujauzito. Kwa sasa amelazwa katika hospitali ya rufaa ya Kakamega anapodai kuwa hapati usaidizi wowote pasipo na fedha za kupigwa picha za XRAY