‘Mama yangu aliambiwa nitafariki dunia ndani ya wiki mbili’

  • | BBC Swahili
    470 views
    Zena Akuwa maarufu kama @chef_zenny alipoteza ghafla uwezo wa kusimama na kujikuta akipata ulemavu akiwa na miaka mitano. Kwa sasa @chef_zenny ni mtaalamu wa kupika vyakula mbalimbali ikiwemo vya baharini, lakini pia ni mwanaharakati wa masuala ya ulemavu Kufika hapa haikuwa safari rahisi kwake. Je safari yake ilikuwaje? Tazama Waridi wa BBC #bbcswahili #WaridiwaBBC #wanawake Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw