Mambo Bado!: Rais Ruto akanusha kujihusisha na kampeni za mapema

  • | Citizen TV
    5,489 views

    Rais William Ruto ambaye anaendeleza ziara yake eneo la magharibi amekanusha kuwa anafanya kampeni za mapema. Ruto anasema kuwa yuko kwenye shughuli ya kuzindua miradi ya maendeleo. Aidha raia amemsuta kinara wa wiper kalonzo musyoka ambaye alikosoa mpango wa bonasi ya shilingi milioni 150 kwa wakulima wa miwa.