Mamia ya vijana waliohitimu wapokea vyeti Kisii

  • | Citizen TV
    71 views

    Mamia ya vijana kutoka kaunti ya Kisii waliohitimu katika kozi ya ujenzi wana kila sababu ya kutabasamu baada ya kupokea vyeti rasmi kutoka halmashauri ya kitaifa ya ujenzi nchini kwa ushirikiano na ofisi ya mwakilishi wa kike Kisii.