Skip to main content
Skip to main content

Mamia ya watu washtakiwa kwa uhaini Tanzania, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    91,094 views
    Duration: 28:10
    Watu 240 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam Tanzania kwa tuhuma za uhaini, zinazohusishwa na maandamano ya siku ya uchaguzi Oktoba 29, 2025. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw